|
Posted 12/11/2007 5:46:13 AM
Kanyama Chiume huyu alikua zaidi ya mwasiasa,huyu alikua mesia, mwokozi,mkombozi, na kwahakika huyu alijitoa akawa ni kielelezo cha ustawi wa fikra na mwenendo yakinifu yta vitu kiongozi anapaswa kuishi, misukosuko kamwe haikumrudisha nyuma, daima ilimuimarisha na akazidi kusimamia fikra zake hata mauti yalipomkuta, huyu ni somo kwa wanasiasa waKiafrika ,vijana kwa wazee kuwa matatizo wakati wakupigania haki za wanyonge yasiturudishe nyuma bali yawe ni chachu yakuendelea mbele. Mungu amrehemu na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa AMANI, MILELE. watukuyu 1, kutoka RUNGWE.
(0) Comments
|